Posts

  Jinsi ya kupunguza uzito na kudumisha uzito huo mpya kwa muda mrefu Kupunguza uzito ni lengo ambalo wengi wetu tunataka kufikia, lakini kudumisha uzito huo mpya kwa muda mrefu ni changamoto kubwa. Katika chapisho hili, nitazungumzia njia bora za kupunguza uzito na kudumisha uzito huo mpya kwa muda mrefu. Punguza kiasi cha chakula unachokula kidogo kidogo BADALA YA KUJITESA KWA KULA MATUNDA NA MAJANI KILA SIKU. WEWE KULA CHAKULA UNACHOPENDA LAKINI: a). kulingana na uzito unaotaka kupunguza (kama ni kwa kiasi kikubwa basi fanya hivi - Pakua chakula unachopenda kama ni wali kuku maharage njegere etc kwenye sahani kwa kipimo unachokula kila siku. kisha GAWANYA CHAKULA HICHO MARA MBILI YANI NUSU KWA NUSU. - Kula nusu moja tu na nusu nyingine mpatie mtu kabla hujaanza kula kabisa. Ama hifadhi kwa ajili ya mlo ufuatao Lunch HIFADHI kwa ajili ya dinner. :- HII INAMAANISHA UMEPUNGUA MLO WAKO KUFIKIA NUSU YA CHAKULA UNACHOINGIZA MWILINI KILA SIKU. b). Kula taratibu sana nusu hio ili uweze ku

JENGA KWA GHARAMA NAFUU( mpaka 2.5milion) MBINU RAHISI.

Image
JINSI YA KUFANYA MAKADIRIO YA GHARAMA ZA UJENZI WA NYUMBA YAKO ANGALIA BAJETI YAKO KISHA TIZAMA MAHESABU HAYA YAFUATAYO. SEHEMU YA KWANZA: MAHESABU YA IDADI YA TOFALI ZINAZO HITAJIKA KWAAJILI YA UJENZI WA MSINGI NA KUTA (TOFALI ZA BLOCK). Habari wana Ujenzi!, nimegundua watu wengi wanapata changamoto ya kufahamu makadilio ya material wanayo hitaji katika ujenzi wa nyumba ama majengo mbalimbali. Kwasababu hiyo nimeamua kuanza mfululizo wa kutoa elimu hiyo na leo tutaanza na mahesabu ya idadi ya tofali zinazo hitajika kujenga Kabla haujaanza kufanya mahesabu lazima uwe na vitu vifuatavyo 1. Uwe na ramani yenye vipimo ili kujua ukubwa wa jengo lako. Ramani inachorwa na wasanifu majengo wataalamu ambao wanasomea — wataalamu hawa wanahitimu katika vyuo vinne tu hapa nchi navyo ni Ardhi University (chuo kikuu), na vyuo vya kati Ardhi Institute — Tabora, Ardhi Insitute — Morogoro, Institute of Lands Dar es Salaam. 2. Ufahamu aina ya material ama tofali utakazo tumia, kama ni hydraform, tofali